The Power OnLine Radio kuja kwa kishindo
https://alloycenyanda.blogspot.com/2015/09/the-power-online-radio-kuja-kwa-kishindo.html
| ALLOYCE NYANDA-Mtangazji wa The power Online Radio |
Utakuwa na fursa ya kuchangia na kuwa sehemu ya The power online radio Kuna mambo mazuri yanakuja kupitia online radio
kikosi utakachoweza kukisikia kupitia radio tako ya THE POWER ONLINE RADIO NI PAMOJA NA
- Dotto Bullendu
- Alloyce Nyanda
- Kisibi Isaya
- Elia Migongo
- Mansour Jumanne
- Igan Sala
- Rashidi Chilumba
WACHAMBUZI
Denis Mapagaze
Edwin Soko
Hiyo orodha ni ndefu hao ni baadhi ya team utakayoisikia hivi Karibuni.
Tunafanyaje katika kuhakikisha habari za redio zinakufikia?
ReplyDelete