Mgebuka Choma Festival Ndani ya Kigoma Leo.

Mwandishi: Juma Shabani.

Mji wa Kigoma na Viunga vyake itazizima kwa burudani saafi na ya kukata na shoka katika viwanja vya Golden Beach. Concert 



Hili linalofanyika kwa mara ya pili mkoani Kigoma kwa jina the Mgebuka Choma Festival awamu hii litatumbuizwa na Msanii Maarufu kwa jina la Timbulo.

Timbulo aliyewasili mkoani Kigoma jana tarehe 2/10/2015 na kufanya show nzito mjini Kasulu. Leo amejipanga kisawasawa kudondosha bonge la show hapa Kigoma mjini.

 Sambamba na yeye vikundi kadhaa vya live band vitatumbuiza Katika show tamasha Hilo
.
Hii ni mara ya pili kwa tamasha hili kufanyika. Mara ya kwanza msanii Bob Junior alifanya vema na kulitambulisha vizuri tamasha hili na kuwa ni tamasha la kipekee lililokusanya watu wengi kulingana na matamasha mengine. 

Tamasha hili linalofanyika kwenye fukwe za ziwa Tanganyika zinatarajiwa kufana kwa wateja wakijipatia Migebuka choma huku wakiburudika kwa muziki na vinywaji mbalimblai.
Hali ya wateja wa tamasha hii imeonesha hamasa na kulisubiri kwa hamu kubwa.

Niwatakie concert njema.

Related

Michezo na Burudani 6382405450786948529

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress