Wafanyakazi wa MSF wauawa Kunduz

Shirika la madaktari wasio na mipaka la Medecins Sans Frontieres, linasema watatu kati ya wafanyi kazi wake wameuawa na wengine 30 hawajulikani waliko baada ya zahanati yao kushambuliwa katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan.

Kulingana na shirika hilo zahanati hiyo iliharibiwa vibaya na mabomu
Shirika la kujihami la nchi za magharibi NATO linasema kuwa linachunguza kubaini ikiwa shambulizi la marekani lilihusika.
Kumekuwa na mapigano makali katika mji wa Kunduz tangu wapiganaji wa Taliban kuuvamia siku ya Jumatatu.
Chanzo:BBC

Related

Kimataifa 6252683706402950764

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress