Novat:Serkali Yangu sio Sikivu kwa Vijana
https://alloycenyanda.blogspot.com/2015/09/novatserkali-yangu-sio-sikivu-kwa-vijana.html
Kijana Novat Karol kijana Mbunifu Ambae alimaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania na kukosa Kazi na kuamua kujiajiri mwenyewe akaanzisha kituo cha Kijamii Wilayani Sengerema kinachofanya shughuli za ubunifu ikiwa ni pamoja na Ujenzi i wa nyumba kwa kutumia chupa za makobo pamoja na ujenzi wa Matanki
Asema Serkali ya Tanazania hakika Haina Muda wa kusaidia Vijana wake hata kama Wanajiajiri wao Wenyewe
Akiongea na Power of media Novat anasema kuwa hajawai kutazamwa na serkali wala kupewa Msaada wa eneo amabalo anaweza kutanua zaidi shughuli zake
Taarifa zaidi usikose kutusikia kupitia The POWER ONLINE RADIO
![]() |
| Mmoja ya Nyumba Zilizojengwa kwa kutumia Chupa za Maji |


