MAKADA WA CHADEMA (BAWACHA) WATUPIANA MANENO
https://alloycenyanda.blogspot.com/2015/11/mtu-kutoka-kilimajnaro-kateuliwa-viti.html
Makada wa chama cha
Demokrasia na Maendeleo Chadema Wamesukumiana Maneno yaliokuwa na Matusi hadi ya nguoni kisa uteuzi wa viti Maalumu
Soma Mazungumzo yao
[11/15, 21:13] MARIAM MSABAHA: Huyo makamu wa znz kafanya kazi gani mpaka apewe ubunge si bora hicho kiti chake kingeletwa bara.
[11/15, 21:14] TEDDY BAWACHA: Angepangiwa hata kuzunguka na first lady angepata nafasi lol
[11/15, 21:41] ALALA BAWACHA: Dada maryam minakuheshum sana kama unasibitisho naupa umjibu huyo mama unaonekana unajuwa mengi kuliko kama hana bendera atashusha hewa
[11/15, 21:47] WANDE BAWACHA: Usiseme haja fanya kitu, huyo mama wa zenji, muogope Mungu mariamu acha hizo Mungu hapendi
[11/15, 21:47] WANDE BAWACHA: Sio tahira yy anaakili timamu et
[11/15, 21:48] MARIAM MSABAHA: Wewe kipi unachokijua alichokifanya zenj uniambie ?wande
[11/15, 21:49] WANDE BAWACHA: Nimesema sio mwendawazimu had aseme atashusha bendera
[11/15, 21:50] MARIAM MSABAHA: Ana uwezo wa kushusha bendera labda akashushe ya chumbani kwake lkn sio ya chdm
[11/15, 21:51] WANDE BAWACHA: Ni kwamba amefanya siimanii kama milembe inamuhusu kwa hiyo ww umefurah alivyo kosa ona aibu hata kidogo
[11/15, 21:52] WANDE BAWACHA: Acha matus hawazi shusha ya chumbani kwake atashusha alizo zipandisha
[11/15, 21:52] MARIAM MSABAHA: Uchaguzi wa jimboni kwake umemshinda leo hii ataweza kushusha bendera ya chama hahaha
[11/15, 21:54] MARIAM MSABAHA: Kama huna huruma nae kamnunulie kiti umpe hata yesu alisema asie fanya kazi asile umesikia wande
[11/15, 21:55] IKINDYA BAWACHA: Acha dharau bac wewe mama mwanamke usiekua na huruma Kwa mwanamke mwenzako loooooooh hata chembe ya huruma huna
[11/15, 21:55] ALALA BAWACHA: Mbona unamaneno makali mbunge
[11/15, 21:55] WANDE BAWACHA: Nenda huko mariam, kale posho za mwisho tu nawewe ni jinsi gan ulivyo na raha huyo mama kukosa ubunge pyuuuuuu
[11/15, 21:57] ALALA BAWACHA: Kuna ambao sio chadema lakini wamechangulia a cha maneno makali
[11/15, 21:57] WANDE BAWACHA: Mbona anatropia mmempa fata kauli yako
[11/15, 21:58] HAPPY IGNAS: Anatropia hafai kupewa ubunge hata kama amejenga chma miaka 50 ...hilo ni kosa la jinai kbsa.....
[11/15, 21:58] WANDE BAWACHA: Futa
[11/15, 21:59] ALALA BAWACHA: Tupe majibu inawazekana sisi tunamkengeza
[11/15, 21:59] +255 719 626 250: Ndo kashapewa ubunge na anaenda kuapa awatumikie
[11/15, 22:00] IKINDYA BAWACHA: Kama kigezo ni Kazi mbona hamja mpa Rose mayemba loooooooo mwanamke usiekua aibu muone kwanza ulivyo kaaaaaaaa kakojoe ulale weeeeee BI kizeee
[11/15, 22:00] +255 719 626 250: Hafai kweli lkn ndo basi tena
[11/15, 22:02] MARIAM MSABAHA: Huyo makamu wa bawacha znz akatafute chama cha wamanga na akiache chama cha wachaga na watu weusi m/mke ana ubaguzi kama nini kwani tangu ajiunge na chama kafikisha mwaka?ndo maana mungu kamlaani kakosa
[11/15, 22:04] WANDE BAWACHA: Tunajua we si mchaga umevamia tu
[11/15, 22:05] MARIAM MSABAHA: Bi kizee ulie mvalia chupi m/mke usie kuwa na haya wee umenielewa ikindya
[11/15, 22:05] ALALA BAWACHA: Namatusi ten
[11/15, 22:08] MARIAM MSABAHA: Kukojoa ni lazima madamu tundu unayo umenielewa jilungu na ambae hakojoi ana tundu
[11/15, 22:08] IKINDYA BAWACHA: We ishia hapo hapo mtoto wa mwenzie ni mkubwa mwenzio Mariamu
[11/15, 22:08] WANDE BAWACHA: Mariam wewe acha chuki binafs inakusumbua
[11/15, 22:09] IKINDYA BAWACHA: Looooooo kimama hakina aibu hiki eeeeee
[11/15, 22:09] MARIAM MSABAHA: Sio chuki kwanini nyie mnatukana na ubaguzi juu kwani kuna bubu hapa
[11/15, 22:11] IKINDYA BAWACHA: Chuki zako binafisi peleka uko una lolote wewe shukru Chadema wamekusaidia maisha maanake Elimu yako yenye ni shida
[11/15, 22:11] MARIAM MSABAHA: Yanakuhusu ya kwako yanakushinda yangu utayaweza mwenzio nimeoshewa mfedha fedha kazi kwako wande
[11/15, 22:12] WANDE BAWACHA: Darasan la pili pita kule
[11/15, 22:13] WANDE BAWACHA: Ungejua yang mazur mm nina vyeti et eee kunguni ww
[11/15, 22:13] IKINDYA BAWACHA: Hapo sasa mbunge wakwanza ambae alienda bungeni ajui kusoma na kuandika hii ni aibu ya mwaka
[11/15, 22:14] ALALA BAWACHA: Shikamoo siasa hata we Leo unaongea makubwa
[11/15, 22:14] WANDE BAWACHA: Ww hat vyeti Huna ndio ubunge wa mwisho jiangalie ww
[11/15, 22:15] MARIAM MSABAHA: Nakuona ww mwenye elimu unaishia kutukana kwenye group na bado hiyo maneno ya mkosaji umenielewa ikindya
[11/15, 22:16] IKINDYA BAWACHA: Mubinafsi nende shule ukasome kwanza ndio urudi kujakubishana nasie loooooooo ubunge wenye wa hisani
[11/15, 22:16] WANDE BAWACHA: Mkosaji nn pita kule hina lolote kunguni ww malizia tu na ujipange mtaa tu nakusubr kilaza ww
[11/15, 22:16] MARIAM MSABAHA: Hata kama ukiwa wa mwisho mm nimeula ww jee?na kama una vyeti katafute kazi ufanye fisadi usiyekuwa na haya.
[11/15, 22:17] MARIAM MSABAHA: Mtaniweza wapi mie hapana chezea mm msabaha hahaha
[11/15, 22:18] IKINDYA BAWACHA: Wewe ndie fisadi no 1 unafisadi mpaka wazanzibar wenzako pita kule kilaza wewe usiekua na huruma hata kwa mzanzibar mwenzako
[11/15, 22:19] MARIAM MSABAHA: Nimepewa kwa haki hiki kiti sikumdhulumu mtu limekuuma sana na bado utachonga sana hata kazi sijaanza
[11/15, 22:19] WANDE BAWACHA: Sio mzanzibari huyo mchaga
[11/15, 22:20] IKINDYA BA