HABARI KUU.Chadema kuingia Dodoma
https://alloycenyanda.blogspot.com/2016/07/habari-kuuchadema-kuingia-dodoma.html
Usiko kuangalia kipindi cha Habari kuu kesho kufuatia tamko la baraza la vijana chadema kusema watatinga Dodoma kuzuia Mkutano wa CCm kwa madai ya kuwa Rais pamoja na Jeshi la Polisi limezuia mikutano ya vyama vya Siasa..Tutakuwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilemela Comred Kher james Pmaoja na Mwenyekiti Wa baraza la vijana Chadema Wilya ya ilemela na Diwani wa Butimba(Chadema) John Pambalu
