Huyu Ndo MO MUSIC Mwandishi aliekacha taaluma na Kuwa Msanii


MO MUSIC -Msanii wa Bongo Fleva



Ukitaja jina la Mo Music Pasinashaka akilini mwako Swali la Kwanza litakaloibuka ni  Ngoma zake kali kama ,Basi nenda,Nitazoea,Almasi Etc


the power media Ameamua kuanaza na historia ya Mo music pale ambapo imetimba na kuzungumza na baba yake mzazi Mzee Martin Katemi na Kuzungumza nae kuhusu Historia ya Huyu Mwandishi wa habari alieamua kuwa Msanii

Mimi ni Martin Katemi baba mzazi wa Moshi nyie mnamfahamu kama Mo Music nina watoto wawili  wa kiume yeye ni wa pili,kijana wangu enzi za utoto alikuwa anapenda sana kukaa na makundi ya vijana wenzake na kuna muda alikuwa anakuja nao marafiki zake nyumbani’ – Martin Katemi

‘Makundi yake walikuwa ni watu wa kutengeneza vitu kama magari pia hata ufugaji wa Mbwa ni mpenzi sana wa Mbwa kuna wakati alikuwa anajibishana sana na marafiki zake kuhusu ufugaji wa Mbwa na alipofikia darasa la saba alikuwa na kundi la muziki ambapo walikuwa wakienda mlimani hapa ulipo ukiangalia juu kuna eneo la mlima unaitwa Mlima wa Papa’ – Matin Katemi

Kule walikuwa wanafanya uimbaji lakini sisi wazee tulifanya kazi kubwa sana ya kuchuguza ni kitu gani wanachokifanya kwani kule ni eneo ambalo huwa wanakaa wahuni wavuta bangi na watu wengine lakini tulivyokwenda tukawakutana wana ma guitar na vifaa vya muziki baadae ndipo tukaanza kuona matunda kutoka kwa Mo Music baada ya kutoka wimbo wake wa kwanza’ – Martin Katemi

Na nyumbani kwao Mo Music ndio kando kando ya huo Mlima na ndio maana alikuwa akienda huko kwenda kufanya mazoezi yake na marafiki zake’ – Martin Kat

Aidha Mkali huyu wa Bongo Fleva  amabae kitaaluma ni mwandishi na amemaliza chuo kikuu cha St agustino Pale jijini mwaza na alikuwa kisomea maswala ya Mawasiliano ya umaa 

Kabla ya mo kuwa msanii mkubwa alifanya Mapamabano makubwa ya Harakati za kupenya akiwa jijini mwanza 

Miongoni mwa studio alizofanya nazo kazi japo mo aliwai kusikika kuwa hatodharau hizo studio japo ma producer wake kunawakati walionekana kukerwa na Yeye maana alikuwa akiwasumbua sana mara kwa mara

Mbunda Records,Delta Media Ni miongoni mwa studio alizowai kufanya nazo kazi 


Usikose Mwendelezo wa Historia yake kupitia Power Online radio hivi karibuni

Related

Tanzania 5727980490657046961

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress