Kkosi cha Uingereza Hadharani -Watatu wapya waitwa -Watatu waachwa



Kikosi cha team ya taifa ya mpira ya Englid maarufu kama Three Lions kimetajwa na kocha mkuu Roy Hodgson siku ya leo ambapo majina mapya yametokea akiwa ni pamoja na Delle Alli aliyeitwa katika kikosi hicho. Mchezaji huyu kinda wa Tottenham mwenye umri wa miaka 19 ameitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi hiki. Mwingine aliyeitwa ni Danny Ings mshambuliaji wa Liverpool.

Wachezaji watatu wakiwemo maarufu wameachwa kutokana na matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na Daniel Sturridge anaeendelea kuachwa, wakati Luke Shaw naye kaachwa kutokana na majeruhi aliyoyapata. Mwingine aliyachwa na Jack Grealish.
Three Lions imeshafuzu na inamalizia michezo ya mwisho na Eastonia na Lithuania.
Kikosi cha wachezaji 24 kimeitwa na kocha Roy ambacho ni:

  • Makipa:
Butland, Hart, Heaton
  • Mabeki:
Bertrand, Cahill, Clyne, Gibbs, Jagielka, Jones, Smalling na Stones
  • Wachezeshaji:
Dele Alli, Barkley, Carrick, Lallana, Milna, Oxlade-Chamberlain, Shelvey na Sterling
  • Washambuliaji:
Ings, Kane, Rooney, Vardy, Walcott

Hiki ndio kikosi cha wachezi 24 kilichotajwa na kocha mkuu wa Uingereza Roy Hodgson.

Mwandishi juma shaabani
Kimataifa

Related

Michezo na Burudani 784764554215006955

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress