Mafunzo kuhusu Ukiwmi,Unyasaji wa kijinisa ,Ndoa za mapema Mjini Sengerema siku ya Nne
https://alloycenyanda.blogspot.com/2015/11/mafunzo-kuhusu-ukiwmiunyasaji-wa.html
Mafunzo yahusoyo maswala ya Ukimwi, elimu kwa watoto ,ndoa mapema yameingia siku ya nne katika mji wa sengerema mbapo Shirika la Kimataifa la Unesco Nchini Tanzania linatoa mafunzo haya kwa waandishi wa habari,viongozi kutoka katika hospitali kwa lengo la kuwa na uelewa wa pamoja katiaka kusaidia kupunguza matatizo ya Ndoa,ukiwmi kwa jamii



