DIXON MPILIPILI MCHAMBUZI WA SOKA KIJANA ZAIDI AFRIKA

Ni Miongoni mwa vijana wadogo waliobobea kwenye uchambuzi wa soka barani afrika, huonekana kwenye Televisheni Marrufu ya Star Tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi, amezua gumzo kwqa uchambuzi makini wa soka huku akionekana kukosoa vikali mwenendo wa kabumbu nchni Tanzania, amekuwa mstari wa mbele kutetea maisha ya wachezaji wa afrika na kusema wanafanya kazi kubwa lakini baada ya maisha ya mpira hubaki masikin

Related

Tanzania 7289372897943034431

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress