Lowassa atua Bukoba kwa mara ya pili kuwafariji waathirika wa tetemeko

Aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mh Edward Lowasa amewasili mjini Bukoba mkoani Kagera kuendelea Kuwafariji waathiriwa wa Tetemeko la Ardhi liliopelekea vifo vya watu  17 na kuharibiwa Kwa makazi na miundo mbinu

Baada ya kuwasili Mjini Bukoba Mh Edwad Lowasa am,elakiwa na Mwenyeji wake Mbunge Wa  Bukoba Mjini Mh willfred Lwakatale na kwenda moja kwa moja mpaka eneo la  Hamugembe na Kashai kwa lengo la kuwasalimu Wananchi walioathiriwa na Tetemeko

Mh lowasa Katika safari yake ameambatana na Mbuge wa Arusha Mjini GOBLES LEMA  na Kada wa Chma cha chadema Khamis Mgeja ambae amesema  atawasilisha Msaada kwa mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Mstaafu Salum Kijuu


Related

Tanzania 9051853346864513837

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress