Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine Tena leo September 23 2016
https://alloycenyanda.blogspot.com/2016/09/rais-magufuli-kafanya-uteuzi-mwingine.html
Kufuatia hatua ya Serikali ya Awamu ya Tano kununua hisa zote za Bharti Airtel ambaye alikuwa mbia wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Hivyo Serikali imenunua na kumiliki hisa za Kampuni hiyo kwa asilimia 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Waziri Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.
Waziri Waziri Kindamba ameteuliwa kushika nafasi hiyo kuanzia leo September 23 2016. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura atapangiwa kazi nyingine.
Endelea kukaa karibu na Thepower of media kwa taarifa zaidi.
