MSHINDI WA PILI WA TUZO ZA EJACT 2016 ATAMBA KUSHINDA

Lucas Maziku-Camera Man Star TV
Mwandishi wa habari Nchini Tanzania Anaefanya kazi katika kampuni ya SAHARA MEDIA GROUP jijini Mwanza, Lucas Maziku ambae ni Mpiga picha wa kampuni hiyo upande wa Star Tv , Ameelezea Msukumo wake tena uliomfanaya atume kazi Zake katika mashindano ya MCT(Media Council of Tanzania) Ambapo mwaka jana katika Mashindano hayo aliibuka mshindi wa pili  kama Mpiga picha bora wa Runinga.

Alipokutana na mwandishi wa  wa Power of Media alimweleza mwaka huu ana nafasi Kubwa ya kushinda kwa kuwa Ametuma kazi Nyingi Zaidi na Zenye ubora wa hali ya Juu huku akisisitiza kuwa Mwaka jana aligundua kosa lililomfanaya ashike nafasi ya pili

Lucas Maziku ambae ni Mhitimu wa Chuo kikuu Cha Saut na mwenye Ujuzi wa kuhariri picha na mwandishi wa Mwongozo amejinasibu kuwa Mwaka huu ni mwaka wenye Neema kubwa

Lucas Maziku amejizolea umaarufu Mkubwa nchini Tanzania kwa umahiri wake wa kuchanganya picha na kupiga picha katika matukio maarufu ya mwaka juzi wakati wa kampeni za uchaguzi

Hii ni Moja ya Picha ya alizopiga





Related

Tanzania 7025299816270924912

Post a Comment

emo-but-icon

Tafuta Habari

Wasomaji

Tufuatilie Facebook

Maoni Yako

Name

Email *

Message *

item
Wordpress